Thursday, June 13, 2013

My Swahili Poem

Mimi, sina mengi ya kusema                                                                  
Kuanzia zamani za kale
Hadi leo, 
Mtu aki pokea wakati ya kuongea
Ataharibu wakati huo na maneno ovyo
Na hivi sasa nimesimama hapa
Ninazungumza Kiswahili na watu hawajui
Hata lafsi moja
Watasemaje?
Je, wamefahamu nini?
Ama leo, wakisikia lugha yangu
Wata kumbuka bara langu,
Watasumbuliwa pamoja na sisi vituko vya huko?
Ama wata endalea na unjinga wao
Kweli, duniya hii hakuna matata.


TRANSLATION
Me, I don’t have much to say
From the beginning of time
Upto today
When man receives a chance to speak
He’ll waste that time with speaking nonsense

So now, here I stand
Speaking Kiswahili with people who don’t know
Even one word
What will they say?
What did they understand, eh?

But today, when they listen to my language
Will they contemplate on the land I come from
Will they be troubled with us by our circumstances?
Or will they continue with their ignorance
Really, this world has no problems.

Written By: Tasnim Jivaji
Proof-read for Grammer by Suhaila and Yusuf Khaleejy.

October 26, 2009

Read Swahili, sound out every letter phonetically as it is.

No comments: